Udaku Daily Tanzania icon

Udaku Daily Tanzania

9.0.0

Udaku Daily Tanzania ni ứng dụng itakayokujulisha kuhusu umbea na skendo za mastaa

App Information

Phiên bản
Cập nhật
22 th 04, 2021
Nhà phát triển
Google Play ID
Lượt cài đặt
100.000+

App Names

App Description
Download Udaku Daily Tanzania ili upate habari za kamili na za upesi kwa smartphone yako kupitia notifications pindi tu tunapochapisha taarifa.

Pata habari zote za Udaku wa mastar mbalimbali kutoka ndani na nje ya Bongo. Ubuyu, Skendo za maceleb na Umbea wote wa wasanii wa bongoflava na BongoMovie utazipata hapa. Kuanzia wasanii kama Wema Sepetu, Diamond Platnumz, Ali Kiba na wengine wengi.

Unaweza kutufikia kwenye barua pepe: info@trendingpost.co.ke
Ama kama unataka kuadvertise bidhaa zako kwenye Udaku Daily Tanzania: sales@trendingpost.co.ke

Jinsi ya kuanza kutumia Udaku Daily Tanzania:

1. Bila kupoteza wakati bonyeza install ili app yetu ya Udaku Daily iweza kuwekwa kwa simu yako.
2. Ikimaliza kudownload, anza kusoma habari zetu.

Usisahau kujulisha rafiki zako wadownload app ya Udaku Daily Tanzania!
Đọc thêm