Diamond Platnumz - Zuwena icon

Diamond Platnumz - Zuwena

10.2

Diamond Platnumz - Chibu Dangote | Tazama miziki ya Kim cương hapa. Full HD

App Information

Phiên bản
Cập nhật
09 th 11, 2023
Nhà phát triển
Thể loại
Lượt cài đặt
50.000+

App Names

App Description
App Mpya, sasa Tazama bure Full HD Videos.
Diamond Platnumz Fans App | Tazama kila kitu cha Diamond Platnumz kupitia app hii. Tunakusogezea vitu vyote muhimu na exclusive kutoka Wasafi kuanzia Wasafi Records mpaka Wasafi Radio na TV.


Tazama shows, interviews, tours, video lyrics, life style, behind the scene na kusikiliza music pia kwenye app hii. Na tazama Shows na za Diamond Platinumz kila siku.

Usipitwe na update, Kua wa kwanza kupata habari za Diamond Platinumz kila zinapotoka.

Programu hii haiweki nyimbo za kupakua zinazokiuka haki miliki. Pakua programu hii bure uweze kusikiliza miziki na kutazama video kwa kutumia internet.

Kanusho

Hii ni programu isiyo rasmi. Programu hii na maudhui yake hayakubaliki rasmi au yanayotokana na, wala kuhusishwa na au kushirikiana na wasanii wa muziki au vyombo vilivyounganishwa vya msanii, kama vile usimamizi au lebo ya rekodi. Marejeo yote na haki miliki ni mali ya wamiliki wao. Programu hii ina matangazo yanayolingana na Sera ya Google Play na Tafadhali support wasanii na makampuni husika. Asante.
Đọc thêm