MAJI icon

MAJI

Kidakio->
WWF

The GeoApp saves as GPS, Mapping, Data Collection/Dissemination and Monitoring.

App Information

Version
Update
Dec 01, 2021
Developer
Google Play ID
Installs
100+

App Names

App Description
Programu hii ya simu janja ina lengo la kuweka na kufuatilia hali ya maji baridi katika Tanzania na kutumia takwimu zinazochukuliwa na satelaiti kutoa tahadhari.

=>Vitu muhimu kwenye app hii ni:
->Kupata Jira/GPS.
->Ramani.
->Dira/Uelekeo.
->Kutuma jumbe zenye jira.
->Kurunza jira na njia.
->Kutafuta kwa kutumia jira.
->Kutuma rekodi za jira na njia kwa KML.
->Vitini na Vipeperushi.

=>Matumizi ya Msingi:
=>Kukusanya Takwimu.
=>Kusambaza Takwimu/Taarifa.
=>Kusimamia/Kufuatilia Matumizi ya Ardhi.
=>Kutoa Taarifa ya Vitendo vya uharibifu wa Mazingira.
=>Mawasiliano.
Read more