SMS ZA MAPENZI KISWAHILI icon

SMS ZA MAPENZI KISWAHILI

2.500.100

Meseji moto za mapenzi kiswahili

App Information

Version
Update
Mar 01, 2024
Developer
Installs
50,000+

App Names

App Description
Pata sms moto za mapenzi za kiswahili. Ikiwa una mchumba ambaye ungependa kumwambia maneno matamu ya kumfurahisha, basi utazipata kwenye app hii. Ukitaka kumwandia maneno mazito yenye mapenzi ya kila aina. Ikiwa unataka meseji za kumbukumbu ya siku mliopatana au ya ndoa, app hii iko sms kamili ya kumwandikia mpenzio. Kuna sms za siku ya kuzaliwa pia, meseji ya kumwandikia mpenzi wako kwa siku aliyozaliwa. Isitoshe, Kuna meseji tamu za kumwandikia mpenzio iwapo mmekosana, sms hizo zitampea maana ya kukusamehe. Ukitaka kumwambia mwenzio jinsi unavyomkosa, basi tunazo hizo meseji kwa wingi.

Natumahi yakuwa umepata app ambayo umetafuta kwa muda.

Asante kwa kutazama page yetu!
Read more